Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Mar 25, 2018 #1 Hiyo hapo chini ni picha ya pamoja kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga leo jijini Nairobi,
Hiyo hapo chini ni picha ya pamoja kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga leo jijini Nairobi,
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Mar 25, 2018 #2 Odinga wetu hapa bongo uongozi mzima chama chake ulimshukia kwa kejeli tujifunze nini tena huko nao walijifunza kwetu!
Odinga wetu hapa bongo uongozi mzima chama chake ulimshukia kwa kejeli tujifunze nini tena huko nao walijifunza kwetu!
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Mar 25, 2018 #3 Mmawia said: Hiyo hapo chini ni picha ya pamoja kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga leo jijini Nairobi, Click to expand... Picha iko wapi, nani anaiona?
Mmawia said: Hiyo hapo chini ni picha ya pamoja kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga leo jijini Nairobi, Click to expand... Picha iko wapi, nani anaiona?
Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,659 Mar 25, 2018 #4 Hamna picha
whitehorse JF-Expert Member Joined Aug 29, 2009 Posts 2,565 Reaction score 4,432 Mar 26, 2018 #5 Wacha nimsaidie mleta uzi kwa hizi picha chache.
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,257 Mar 26, 2018 #6 Kamuulize Magufuli na wapinzani wake