Uhuru Kenyatta Njia Nyeupe Kuelekea Ikulu

Haya mambo ya Kenya hayana tofauti sana na yaliyotokea Zanzibar...isipokuwa mahakama ya Kenya ipo tofauti na mahakama nchi jirani.
 
Unazani duniani wote watakupenda?mbona magufuri anaongoza watu robo tatu wote hawapendi?mbona yupo hadi ss,wacha na iwe.
My dispute is that without legitimacy you can not do somethings. For example if in his capacity as a caretaker president he sign the election bill into law no matter how good it is the public outcry of over reaching his authority will echo the law to the last days of his life. He must judge wisely before accepting the nomination tomorrow.
 
Mtelemko upi hapo hata hao majaji washaona laila c lolote ni mkora tu ataka urais kwa huruma ya mahakama na nlbaadhi ya wasoelewa mpaka leo kenya biashara shida uchumi unashuka kwa kasi washatumia zaidi ya b 24 za kenya unazani nn maana yake
Sheria na Demokrasia ni Gharama
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwann raila anapinga iebc kwa maandamano??? kwann asiende court, hapa ndio utajua kua watu wanamtazama kenyatta tu kisa ni mpole
 
Mtelemko upi hapo hata hao majaji washaona laila c lolote ni mkora tu ataka urais kwa huruma ya mahakama na nlbaadhi ya wasoelewa mpaka leo kenya biashara shida uchumi unashuka kwa kasi washatumia zaidi ya b 24 za kenya unazani nn maana yake

Raila c laila
 
Bora ameachiwa maana mambo yalivyo afe kipa au afe beki, mpira lazima uende wavuni
 
Hii ni High Court

Huyo anaongelea Supreme Court

Kuna Tofauti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…