luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi
Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu ulichukua picha mpya siku ya Mei mosi ambapo Raisi wa taifa la Kenya Hon. Uhuru Kenyatta alimtupia maneno ya kumtaka akae pembeni makamu wake wa raisi Dr. Ruto
Sasa hili kiukweli lina mpunguzia credit kiongozi huyu wa Kenya ktk kusuluhisha mgogoro wa DRC baina ya serikal na makundi ya waaasi.