luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Anapoteza credibility ya kusimamia hayo mazungumzoKwahivyo hujui kwamba rais UK anatimiza majukumu yake, kama mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika Mashariki na sio kama rais wa taifa la Kenya? Majukumu ambayo ni pamoja na kusuluhisha migogoro ya huyu mwanachama mpya wa jumuiya ya AM.
Ulikuwepo wapi alipokubaliwa kujaza nafasi hiyo ya mwenyekiti wa jumuiya hii? Maanake hapo ndipo hivi vilio vyako vingetia fora zaidi. Sasa hivi hamna namna jombaa, tulia tu na ukubali kuongozwa. Amani kule DRC itakufaidi hata na wewe pia, ukiwa kwenu mashinani huko huko Kolomije.
Tofautisha kati ya malumbano ya maneno ambayo ndio demokrasia na inakubalika na vita vya mtutu wa bunduki na umwagaji wa damu ambao haukubaliki. Nyie kwenu Tanzania hamna demokrasia ya kweli na ndio maana wajinga kama wewe hawaelewi kwamba malumbano ya maneno ndani ya serikali ni kitu cha kawaida kwa nchi yenye demokrasia ya kweli. Huko kwenu hata upinzani ambayo kazi yao ni kupinga serikali hawaruhusiwi kufanya hivyo na Tundu Lissu anamiminiwa marisasi na Freeman Mbowe anatiwa mbaroni na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi kwa kupinga serikali. Jifunzeni demokrasia ya kweli ambapo makamu wa rais na rais wanaweza kutofautiana na maisha ikasonga mbele.Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi
Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu ulichukua picha mpya siku ya Mei mosi ambapo Raisi wa taifa la Kenya Hon. Uhuru Kenyatta alimtupia maneno ya kumtaka akae pembeni makamu wake wa raisi Dr. Ruto
Sasa hili kiukweli lina mpunguzia credit kiongozi huyu wa Kenya ktk kusuluhisha mgogoro wa DRC baina ya serikal na makundi ya waaasi.
Sawa tu na CCM inavopoteza credibility, kisa uadui kama wa paka na panya, dhidi ya upinzani. Mngeanza nyinyi kwa kutuonesha mfano, pataneni kwanza na mliowapiga risasi, mkawambambikia kesi hadi mkapelekea watafute hifadhi nje ya nchi.K2
Anapoteza credibility ya kusimamia hayo mazungumzo
Kwan yale machufuko yenu ya 07 si yalianzia ktk malumbano au yalizuka tu from no where ?. Sikia ww kijamaa kila jambo lina chimbuko lake , problem.root. leo wanaanza kwa kirushiana maneno kesho utoshangaa kusikia wana zichapaTofautisha kati ya malumbano ya maneno ambayo ndio demokrasia na inakubalika na vita vya mtutu wa bunduki na umwagaji wa damu ambao haukubaliki. Nyie kwenu Tanzania hamna demokrasia ya kweli na ndio maana wajinga kama wewe hawaelewi kwamba malumbano ya maneno ndani ya serikali ni kitu cha kawaida kwa nchi yenye demokrasia ya kweli. Huko kwenu hata upinzani ambayo kazi yao ni kupinga serikali hawaruhusiwi kufanya hivyo na Tundu Lissu anamiminiwa marisasi na Freeman Mbowe anatiwa mbaroni na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi kwa kupinga serikali. Jifunzeni demokrasia ya kweli ambapo makamu wa rais na rais wanaweza kutofautiana na maisha ikasonga mbele.
Hivi Kati ya Kenya na Tanzania, wapi wananchinjana siku za uchaguzi?, Nchi gani ilishawahi kusulihisha nchi nyingine ili wasiendelee kuchinjana Kama wanyama?Sawa tu na CCM inavopoteza credibility, kisa uadui kama wa paka na panya, dhidi ya upinzani. Mngeanza nyinyi kwa kutuonesha mfano, pataneni kwanza na mliowapiga risasi, mkawambambikia kesi hadi mkapelekea watafute hifadhi nje ya nchi.
Hana sifa za kupatanisha migogoro ya nchi wakati ya seikali yake imemshinda! Aache ukimbelembele na kujibaragua!Kwahivyo hujui kwamba rais UK anatimiza majukumu yake, kama mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika Mashariki na sio kama rais wa taifa la Kenya? Majukumu ambayo ni pamoja na kusuluhisha migogoro ya huyu mwanachama mpya wa jumuiya ya AM.
Ulikuwepo wapi alipokubaliwa kujaza nafasi hiyo ya mwenyekiti wa jumuiya hii? Maanake hapo ndipo hivi vilio vyako vingetia fora zaidi. Sasa hivi hamna namna jombaa, tulia tu na ukubali kuongozwa. Amani kule DRC itakufaidi hata na wewe pia, ukiwa kwenu mashinani huko huko Kolomije.
Hivi mtu keshasema Ruto alipanga kumpindua ,kumbuka ni Raisi anataarifa nyingi Sana, utataka suluhu na mtu huyo?JK na Lowasa haziivi mpaka Leo ingawa walikua marafiki,siasa haziitaji unachotaka wewepingli-nywee mnali ya kwamba ni mwenyekiti wa EAC lkn ktk mtazamo tu wakaida unapata wapi utashi wa kisiasa wa kusuluhisha migogoro baina ya swrikal na waasi ..ili hali ndani ya nchi yako una.mgogoro wa waziwazi na makamo.wako wa raisi ?
Ingwkuwa busara sanaa kama ange solve ussue na his VP first hapo ingempa sifa na utaashi wa kisiasa ...
Wacha udaku, nani amekuambia JK na Luwasa hawaelewani?, Weka ushahidiHivi mtu keshasema Ruto alipanga kumpindua ,kumbuka ni Raisi anataarifa nyingi Sana, utataka suluhu na mtu huyo?JK na Lowasa haziivi mpaka Leo ingawa walikua marafiki,siasa haziitaji unachotaka wewe