Uhuru Kenyatta: Raila Odinga akishinda uchaguzi tutamuondoa ndani ya miezi mitatu tu

Raila ako na following hadi central.. kuja kwetu ndenderu ujione.
Tuache ukabila.
 
Si tu Ksh bilioni 14 pekee kumbumbuka na kuna watu walipoteza maisha yao na atujui sasa hivi watakufa wangapi? Mnamshangaa Uhuru kusema atatumia bunge kwa wingu wa watu wa chama chake bungeni kumtoa Raila kama akishinda, lakini umesaau kuwa Raila ujaribu kutunia njia yoyote ile kufanya hivyo hivyo ndio maana baada ya uchaguzi huu kuisha na kujikuta kashindwa alianza kuwambia watu wake waingie mtaani wasiende makazini b4 kwenda mahakamani.
of which 5 billion wangegawana na team.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku baadhi ya watu humu walimsifu huyu bwana na Mandela mie nikasema " Tusimfananishe Mandela na vitu vya kipumbavu" na bado ninasimamia kauli yangu
 
Samuel999 twajua wewe ni yatima wa yule mganga jamaa wa vitendawili lakini punguza jazba ,chuma chenu kimotoni tutawaweka mahali penu hivi karibuni.
 
Jay456 .punguza speed msee usije ukabebwa na hizi pepo za mtandaoni mwanangu wanielewa?? maana hujulikani you are lukewarm, unpredictable you are neither hot nor cold (watermelon).
 
Samuel999 na Jay456 nataka mfahamu kuwa sisi kama wabajuni kura zetu hatutampigia huyo mganga jamaa wa vitendawili ,hivi karibuni Hassani Omar atatupa mwelekeo ,kwanza twapeleka kesi mahakamani Joho katuibia .namtakia kila la heri Mwalimu wangu wa siasa Ustadh Guru Uhuru Bin Kenyatta.
 
President:
Our opponent lacks the numbers to win a presidential election now and in the future...And even in the impossible event he's elected, he has no chance, because we have the numbers to impeach him within no time.
Mediocre Media:
Uhuru promises to impeach Raila once he's elected
The ever politically naive/gullible ODMlets:
Uhuru has confessed that Baba will win the repeat election...he's so scared that's why he's planning to impeach Jakom...but even that will fail.


Let the mediocre media and the politically naive ODMlets enjoy themselves till forever...when the truth is too ugly to accept, it's understandable if men chose to lie to themselves.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…