Uhuru Kenyatta: Ruksa Watanzania kumiliki ardhi, kufanya kazi, kuishi, kuwekeza na kuhamia Kenya bila masharti

Ndugu ardhi tena pamoja na title deed ipo inauzwa Kenya siku zote. Fedha yako tu. Propaganda za kijinga vidi ya Kenya zinagandisha akili ya Watanzania wengi.

Mkuu kwa hili hapana. Kenyatta ardhi yote asilimia kubwa ni ya familia yake. Hii hapana Tanzania hatutakuwa na wema huo kabsaaa. Ardhi yetu hakuna kutoa kwa wasio watz.
 
Mkuu kwa hili hapana. Kenyatta ardhi yote asilimia kubwa ni ya familia yake. Hii hapana Tanzania hatutakuwa na wema huo kabsaaa. Ardhi yetu hakuna kutoa kwa wasio watz.
Hamkuambia mtoe ardhi. Nyie bakini na ardhi yenu.
MIMI NI MFUASI. WA TANZANIA MOJA, AFRICA MOJA, DUNIA MOJA.
mipaka katuwekea mzungu.
 
Ndugu ardhi tena pamoja na title deed ipo inauzwa Kenya siku zote. Fedha yako tu. Propaganda za kijinga vidi ya Kenya zinagandisha akili ya Watanzania wengi.
Acha kudanganya dunia wewe, tatizo kubwa linaloisumbua Kenya hata kabla ya kupata Uhuru ni umilikaji wa ardhi, jambo lililochochea kuongezeka kwa ukabila, hiyo ardhi ya kuwapa wananchi wa nchi zingine mumeitoa wapi?
 
Hatukatai ila hatutaki ushirikiano uliokaa upogoupogo.kama ni Win win situation nadhani hatuna tatizo.tusichotaka ni chako chetu,changu changu.
 
Sera ardhi Kenya stricly willing buyer, willing seller. uccm utakuua ndugu.
Hata Rwanda, hata huko Europe sera ni hiyo hiyo, je unataka kutuambia Rwanda wa ardhi ya kutosha kwa sababu wana sera hiyo?
 
Sisi Watanzania tunasifia miji ya wenzetu, ukiwasikia Watanzania wanavyoiongelea Dubai utadhani wawekezaji wametoka mbiguni, sivyo ni sera rafiki kama anavyoeleza Kenyata anaupana wa mambo, maendeleo yoyote ya mwanadamu ya nahitaji maingiliano,
 
Hiyo ardhi ya kumiliki Kenya itatoka wapi! Hii ina sound well kwa wasioweza kufikiria kwa ukamilifu!!
Labda mimi nina mtazamo tofauti kidogo!
Ninadhani kwa kauli aliyoisema Raisi Kenyatta huenda ikawa na ramani ya kama mto uliokauka au mto wa msimu,ila ukiunganishwa na mito midogo midogo mingi na vichemu chemu vingi matokeo yake nikupata mto mmoja mkubwa endelevu ambao matokeo yake nidhahiri! Binafsi nimechukulia hili tamko kama maono kwa upande wa bwana Kenyatta.
Lakini pia kwa nchi yangu Tanzania, nikweli MUNGU ametupa kila kitu anachohitaji mwanaadam ili aishi na kufanya maendeleo, tatizo maono!
 
tanzania is full of people with very small minds. Uhuru's statement is very clear that what he has ordered will not be done on the basis of reciprocity, please comprehend that before muanze kutapa tapa!
There is no free lunch.There must be a hook somewhere.
 
KENYA ARDHI IPO TELE TENA KUBWA KWELI,ISPOKUWA UWE NA NGUVU YA KIFEDHA UA KUKNUNUA NA UTAKAPOINUNUA NI YAKO MILELE TEMBELEENI WAVUTI ZAO MBALIMBALI
 
Ngoja nizichange mapema twende tukawapindue wakikuyu....[emoji14] [emoji14]
 
Hakuna sababu zitakazotufanya tuhamie Kenya. Wakenya sio watu wenye upendo ni jamii ikiyogawanyika vibaya sana na ukabila wa hali ya juu. Usalama dhaifu. Nchi ya Kenya pia imenyimwa warembo kweli niache kwenda mtafuta mbulu nikahangaike na Mkalenjin? Sisi hatuwezi kuwaruhusu kuingia kwa uhuru huo maana kwa ubinadamu wetu wote watakimbilia humu.
 
tanzania is full of people with very small minds. Uhuru's statement is very clear that what he has ordered will not be done on the basis of reciprocity, please comprehend that before muanze kutapa tapa!
Acha maneno yako yasiyo na mantinki, kwanini yeye kama kiongozi wa nchi asiwe mfano mzuri kwa kuachia angalau nusu ya maeneo anayoyamiliki ili kuwakaribisha wageni wanaotaka kuja kuishi Kenya?

The Wako report ya huko Kenya ilionyesha ni kwa kiasi gani kulitendeka dhuluma ya kuchukuliwa kwa ardhi na matajiri waliodhaminiwa utawala wa mzee Jommo Kenyatta, jambo lililosababisha kuwepo kwa ukabila na mauaji yanayoendelea hadi sasa, unataka wageni waje muanze kuwaua kama mnavyowaua wazungu wenye ardhi kubwa?
 
Bora sasa nihamie kenya, bongo nyoso na michosho tu
Kachukue uraia kabisa, lakini ujue Tanzania hairuhusu dual citizenship, yakikushinda huko hakuna kurudi nyuma, utadumbukia Somalia au South Sudan
 
Usifikiri kama chura wewe
 
tanzania is full of people with very small minds. Uhuru's statement is very clear that what he has ordered will not be done on the basis of reciprocity, please comprehend that before muanze kutapa tapa!
And Kenyan are big minds, isn't it? F**k you! Kwendaaa na vidharau vyenu kwa sisi wa Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…