UHURU KENYATTA: Wanaosema Mimi mwizi waniripoti kwa DCI

UHURU KENYATTA: Wanaosema Mimi mwizi waniripoti kwa DCI

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Rais Uhuru Kenyatta amewataka wote wanaomtuhumu kwa kuiba mali za taifa hilo wamripoti kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI)

Kenyatta amewataka raia wa Kenya waache kuingiza siasa kwenye vita dhidi ya rushwa na ubadhirifu wa mali za umma

Amesema kuwa wako watu wanaomtuhumu kwenye misiba na harusi, Kenyatta amesema njia hiyo haitawasaidia bali waende kwa DCI


=======


President Uhuru Kenyatta has urged politicians who have in the past accused him of stealing any property to report him and present their evidence to the Directorate of Criminal Investigations (DCI).

The Head of State spoke on Tuesday while officially opening the sixth annual Devolution Conference in Kirinyaga University, Kirinyaga County.

“I heard someone saying that I had stolen somebody else’s property, I want to tell them to go to the DCI offices and report what Uhuru Kenyatta has stolen,” said the President.

“But don’t go round threatening people by mentioning things in funerals, that person who has died will not help you; only the DCI can.”

President Kenyatta also asked leaders to stop politicizing the war on graft, further urging them to leave the fight against the vice to the relevant state agencies.

“This war (on graft) will not be won in funerals and weddings or anywhere else, we have those who have been tasked with the responsibility of fighting that battle. And I, as well as other Kenyans, believe that those people are capable of doing that work,” he stated.

The Commander-in-Chief reiterated that the fight against corruption does not target any specific individual or community, adding that “it is war against a crime that robs us the opportunity to build a nation with shared prosperity for all.”

He further assured Kenyans that his government had put in place a proactive asset recovery program that will serve to guard the public purse.

President Kenyatta added that the program would ensure that those who benefited from proceeds of economic crime from the national or county government tills in the past surrender their ill-gotten gains to the people.

“I call on all Governors to join me in this generational struggle where we must emphatically say No to corruption and reign in on the corrupt within our respective governments with this shared renewed zeal,” said the President.

=The Citizen Kenya
 
ha ha kuna mtu ataenda kushtaki kweli???, huu ni mzaha bwana Uhuru
 
..or forever hold your peace. The handshake is as solid as a rock.
 
Ajabu raia wa nchi za Africa wanataka rais eti awe maskini
Halafu ni Africa yote wako hivyo
Sijui kwa nini?
 
Huyu DCI anapatikanaje Kwa katiba. Au sheria ya kenya? Nikijua hilo nitarudi kukomenti
 
Baba yake alikua rais na tangu kufa baba yake mpaka yeye kuwa rais pana miaka zaidi ya 30 hapo Kati Kati hawezi kuwa amefanya biashara iliyomuingizia?
Watu wawili wakianza kuendesha gari kwenda Mombasa (kwa mwendo kasi sawa), mmoja akianzia Naivasha na mwingine akianzia Nairobi nani atafika haraka?
 
Mwenye kuendesha kesi nyani anayeshitakiwa sokwe je nyani anuwezo wa kumkamata sokwe?

Itifaki imezingatiwa
 
Ahaaa haaa haaa

TANO TENA
IMG-20180602-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom