Uhuru Kenyatta's Wealth( is he really in touch with the common Mwananchi???)

Aise

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Who told you if one has wealth s/he can't be closer to the common mwananchi?
 
da jamaa ananukia noti tupu....
 
Ngoja tuone. Kwenye mdahalo alisema atayagawa baadhi ya mashamba yake kwa wananchi wasio na ardhi. Asipofanya hivyo kipindi kinachofuata asijisumbue kugombea tena.
 
Ngoja tuone. Kwenye mdahalo alisema atayagawa baadhi ya mashamba yake kwa wananchi wasio na ardhi. Asipofanya hivyo kipindi kinachofuata asijisumbue kugombea tena.
Hajasema hivyo alikubali kwamba ardhi ni mali ya familia na aliwaomba na walikubali kudonate heka 4000 ambazo walishazitoa zigaiwe na ni hizo hizo tu hakuna nyingine mzee labda aamue sasa hivi.
 
Pengine hata waibia tena wakenya Kama baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…