Vituo vilivyorusha matangazo ya kujiapisha kwa Raila hivi tunavyozungumza vinaendelea ku enjoy uhuru wa vyombo vya habari uliopo kenya na demokrasia pana ya Uhuru Kenyatta na serikali yake.
Mahakama kuu pia haikuachwa nyuma baada ya kutoa amri vyombo hivyo ambavyo vimefungiwa vifunguliwe mara moja, inaedelea ku enjoy serikali inavyoheshimu utawala wa sheria.
Jamani hii yote ni africa tujifunze kuweka akiba ya maneno.