Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kuna Mwanazuoni mmoja anaitwa F.G.Riggs yeye aliefafanua maana ya Maendeleo(Development) kwa Dhana ya Development is Autonomous in which society are able to shape their Social,Economic and Political Enviroment(Ecology).
JE,jamii nyingi za kiafrika zimeweza kufikia maendeleo?Maendeleo ya kifamilia,Chama au Nchi?
Tunawezaje kufika katika level hii ya Maendeleo?
JE,jamii nyingi za kiafrika zimeweza kufikia maendeleo?Maendeleo ya kifamilia,Chama au Nchi?
Tunawezaje kufika katika level hii ya Maendeleo?