Tanzania ni digital mda mrefu sana na tumesahau.Imechelewa kwa lipi haswa mkuu ku digitalise vibali vya kupeleka gari ama plate number?
Wewe nakuambia hujui chochote kuhusu TZ.Digital my foot. endeleeni ku learn from huduma centre. Na hii pia muibe
Wewe nakuambia hujui chochote kuhusu TZ.
1. National IDs ni digital
2. Driving license ni digital
3. BRT kuna digital cards kwaajiri ya nauli.
Wewe kaa upige bra bra za kenya.
Soma hapa tangu 2010
http://allafrica.com/stories/201002230431.html
Huduma Centre Kenya - Huduma Kenya Services, Centres and ContactsWewe nakuambia hujui chochote kuhusu TZ.
1. National IDs ni digital
2. Driving license ni digital
3. BRT kuna digital cards kwaajiri ya nauli.
Wewe kaa upige bra bra za kenya.
Soma hapa tangu 2010
http://allafrica.com/stories/201002230431.html
Tanzania to Introduce Electronic Driving Licence
Wewe check habari kuhusu digital driving license.""Kwaajiri"".......ni ndege aina gani????? 🙂
Wewe check habari kuhusu digital driving license.
Tanzania since 2010 nyie baada ya miaka 8 ndio mnakuja na hizo issue sisi tumeshasahau.
Kah!!! Ndio nini sasa umeleta hapa. Nimeona tu kitu kinacofanana na one center ya kupata IDs.Huduma Centre Kenya - Huduma Kenya Services, Centres and Contacts
You should visit huduma centre pia.
No worries. Kutangulia sio kufika na tushafika na we will be doing it better and much more efficient than u guys. kama umesoma na kuelewa hii article you'd actually know what i am taking about but hey what the heck.Kah!!! Ndio nini sasa umeleta hapa. Nimeona tu kitu kinacofanana na one center ya kupata IDs.
Haihusiani na thread hii.
Tunaongelea digital driving license nyie mpo nyuma miaka 8.
Acha kujishebedua.
Kha ndio nini sasa hiyo.No worries. Kutangulia sio kufika na tushafika na we will be doing it better and much more efficient than u guys. kama umesoma na kuelewa hii article you'd actually know what i am taking about but hey what the heck.
FYI- i dont recall comparing this project to yours so i just cnt help but wonder.
Wamefyata!Kha ndio nini sasa hiyo.
Unajisifu kitu ambacho hakipo.
Usiichukulie TZ poa sawa dogo.
Halafu ulikuwa unabwatuka kwamba tutakuja kujifunza kwenu!!!!
Jitahidi kutafuta taarifa zenye evidences na references
Sawa mtu mzima so kama Tz wako nayo ni since 2010 are we not allowed kujivunia?Kha ndio nini sasa hiyo.
Unajisifu kitu ambacho hakipo.
Usiichukulie TZ poa sawa dogo.
Halafu ulikuwa unabwatuka kwamba tutakuja kujifunza kwenu!!!!
Jitahidi kutafuta taarifa zenye evidences na references
Umechanganyikiwa. Haueleweki.Sawa mtu mzima so kama Tz wako nayo ni since 2010 are we not allowed kujivunia?View attachment 435724View attachment 435725
Umechanganyikiwa. Haueleweki.
Dont be cowed bro i know tz, majority of the citizens have no identity cards!! They use any identification that one has, no difference with somalia. Saw people using driving licences as ids?!!! Huko ni uozo mtupu hamna kitu. And the guy doesnt even understand what is being digitised, its the licences not the plates, the plates are on roll out at kamiti.No worries. Kutangulia sio kufika na tushafika na we will be doing it better and much more efficient than u guys. kama umesoma na kuelewa hii article you'd actually know what i am taking about but hey what the heck.
FYI- i dont recall comparing this project to yours so i just cnt help but wonder.