Uhuru Park Live: Sherehe za Mei Mosi Kenya

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Nitakuwa live hapa nikiwapa updates.

sasa ni igizo la boss uchwara anayetoa ajira kwa mtindo wa mkono mtupu haurambwi.
kabla ya hapo kulikuwa na fracas kidogo kati ya wanausalama na watu wa bodaboda. hali imetulia.

saa 5:00 muda wa rhumba.

anaanza bibie faya tess na kibao nadina cha mbilia bel, wanenguaji ni moto faya.

sasa anatumbuiza Nyboma Mwan'dido kama yeye. kazeeka lakini bado wamo.

saa 5:30 burudani nyingine ya wafanyakazi

saa 6:30 anaongea Mike Sonko, Gavana wa Nairobi. anasema leo siyo siku ya siasa. ni siku ya kusherehekea siku ya wafanyakazi duniani. anamaliza.
 
sasa linapigwa rhumba live: nadina

anayeimba ni mashallah. anaitwa faya tess.

wanenguaji ni moto faya.
 
Nitakuwa live hapa nikiwapa updates.

sasa ni igizo la boss uchwara anayetoa ajira kwa mtindo wa mkono mtupu haurambwi.
kabla ya hapo kulikuwa na fracas kidogo kati ya wanausalama na watu wa bodaboda. hali imetulia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu Mwenyekiti ndio sifia sifia kweli.
Mifuko ya hifadhi ya Jamii eti ni tatizo alilitatua wakati lilitengenezwa na wao wenyewe!!!
 
Jiwe asituimbie nyimbo zake za 'Bombadia, Stiglas goji', reli, tulipigwa sana kwenye madini nk
Tunataka kusikia nyimbo mpya, kupanda daraja, kupandisha mishahara (pamoja na fidia /malimbikizo ya miaka mitatu bila ya kupanda) , madeni na malimbikizo ya likizo na mishahara
 
sasa anatumbuiza Nyboma Mwan'dido.
 
nyinyi endeleeni kutazama maazimisho yaliyoboa ya mbeya, mimi namtizama nyiboma akitumbuiza katika maazimisho ya viwanja vya uhuru park, nairobi.
 
Uhuru ameahidi nini! Haswa sisi watu wa sekta binafsi
 
 
Aha aha aha mbona hakuna updates! Wht happened
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…