Uhuru Selemani asajiliwa Jomo Cosmos

Jamani simba nomaa okwii tumeuza, Uhuru suleman tumeuza pia!

Wale wanaojiita wa kimataifa vp mumeuza mchezaji gani nje ya nchi musimu huu???

Kwani alikua mchezaji Wa simba kabla ya kwenda south ?
 
kaitaja tu simba kuboresha c.v yake. Alishaenda kwa mkopo Mwadui ya julio na mkataba wake umeshaisha hivyo ni mchezaji huru. ila hongera zake kwa kujitambua japo amechelewa sana tofauti na wengine wapo wapo umri ukishapita ndio wanaanza kutafuta timu nje.
 
Yaani wabongo sijui kwanini aisee Yaani Uhuru Awe na miaka 23? Mpira wenyewe wa kibongo mpaka uonekane kipaji chako tayari una 20s kwanini angalau hakusema 25,26,au 27?

Wakuu msipige kelele basi! mwenzetu wanaweza kumshtukia kama enzi zile za Nurdin Bakari akiwa Serengeti Boys. Kelele kama hizi zinaweza kumnyima ulaji huko Bondeni, haitakuwa hasara kwake tu bali familia yake pia na Taifa kwa ujumla.

Nenda, nenda, Uhuru Selemani, nenda!
 
Wabongo bhana ni shida sana.
Badala ya kumpongeza Kwa jitihada alizoonesha nyie mnang'ang'ana na umri wake.
Shame on you.

Kwa akili kama hizi tuna muda mrefu kufikia mafanikio ya kweli. Integrity ni mtihani mgumu kwa ngozi nyeusi.
 
Kiungwana suala la kudanganya umri halina nafasi tusipo pepesa macho miaka ya 90 timu za taifa za ghana kuanzia chini ya miaka20 zilikuwa zinachukua sawa world cup kwa rank hizo mpaka walipokuja kustukiwa.Pili kwa mpira wa siku hizi ukidanganya umri ni rahisi kugundua coz mazoezi unayofanyishwa na kasi ya mpira mwili huwezi ku resist hali hiyo so utatamba kwa muda mchache na kuzimika mpira sio kama bao au pool table.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…