Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Naam, malengo ya kujitawala yalikuwa kujenga taifa moja, taifa lenye nguvu na lililo na usawa kwa wote.
Miaka 60 ya uhuru bado hakuna haki, tabaka masikini linanyanyasika, hakuna usawa wa kimaamuzi na keki ya taifa inaliwa na wachache.
Mabadiliko mengi ya kimfumo yanahitajika ili kila moja auone uhuru na kuuishi kabisa.
HERI KUWA MTUMWA UGENINI KULIKO KUWA MTUMWA KWA NDUGU YAKO.