Uhuru urges Tanzania, Burundi to effect work permit fees waiver

Basically, there are many ways to skin a cat no? 🙂.
Cutting edge. Meanwhile we must enjoy EA pleasures kabalagala matoke groundnut soup mursik mutura nguruka makongoro togwa haluwa bokoboko unrestricted. EA oyee
 
Kila rais afanye kazi na kuondoa tatizo la ajira katika nchi yake baada ya hapo ndio hatua ya kuhusu work permit ndio tujadiliane.

Sasa hivi nyie wakenya fanyeni yenu nchini kwenu na sisi tunafanya yetu kuondoa tatizo la ajira.
 
Kwani hamuwezi kuishi bila tz?
 
Kwani hamuwezi kuishi bila tz?
si tumeruhusu hadi wasomali, juzi nimeona traler ya movie eti wametengeneza pale eastleigh... Ukiangalia pia wakenya wasomi wamejimwaga kule somaliland na puntland wanajenga mabarabara na majumba, we dont discriminate where to find new frontiers and opportunities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…