Uhuru wa kiuchumi hupunguza msongo wa mawazo

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180

MATUMIZI ya fedha yanaongezeka kila kukicha wakati kipato chako ni kile kile, mshahara ni ule ule kila mwezi, lakini mahitaji yanaongezeka na majukumu yanaongezeka pia.

Kuongezeka kwa matumizi bila kuongezeka kwa kipato cha mtu mmoja mmoja kunaleta shida kwenye familia nyingi na kusababisha msongo wa mawazo kwa baadhi ya watu, hususan wazazi ambao wengi wao hushindwa kuhimili majukumu na wengine kujikuta wakizikimbia familia zao.


Kwa habari zaidi, soma => Uhuru wa kiuchumi hupunguza msongo wa mawazo | Fikra Pevu
 
hii ishu ya kuweka link si nzuri kama tunataka kumboa taifa kwanini hata usieleze hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…