Uhuru wa kuongea na kujieleza

Uhuru wa kuongea na kujieleza

Mbahili

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
281
Reaction score
525
Habari za asubuhi wana jamii..
Kuna jambo naomba kuuliza ama kushirikishana na nyie.. Naomba nianze kwa stori kidogo..

1. Siku moja nilikuwa napiga story mbili tatu na mzee flani mtaani. Tuliongea mengi hasa siasa, kuna baadhi ya section nikijaribu zungumzia anasema, kijana nyamaza usiskike ukiongea..

2. Kuna wimbo flani wa Ney wa Mitego nilikutwa naskikiza, automatically nikaskia naambiwa, we mpinzani vipi? Nikajiuliza hata kusikiliza tu mziki flani mm mponzani? Wakasema ukiskika unaskiliza huu wimbo ni hatari..

Swali langu sasa;
1. Je ni mawazo ya watu wachache?
2. Au ndio hali halisi ya taifa letu lilipofika..
 
Back
Top Bottom