niwashukuru wana jaii kwa jitihada za kuelemishana na kubadilisha na mawazo katika kila mada hasa zinazohusu demokrasia ya nchi yetu. Niwasihi kuwa tutumie uhuru wa kutoa huu wa kutoa maoni vema ili tuendeleze amani iliyopo katika Taifa hili kwani amani haiwezi kuthaminishwa na chochote duniani hapa .