JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Moja kati ya misingi ya nafasi ya kiraia ni uwezo wa kila mtu kupata taarifa zilizo kwenye wavuti bila kizuizi chochote kitokanacho na matakwa ya mtoa huduma ya intaneti
Uhuru wa kupata huduma ya intaneti hurahisha mawasiliano baina ya watu lakini pia hutoa haki ya watu kupata taarifa muhimu kwa ajili ya ustawi wao.
Upvote
1