Uhuru wa mtu binafsi ndani ya katiba hautatumika kuhalalisha ushoga?

Uhuru wa mtu binafsi ndani ya katiba hautatumika kuhalalisha ushoga?

Sambwisi

Senior Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
175
Reaction score
69
Wana JF

Katika rasimu yetu kuna kipengere cha "Uhuru wa mtu binafsi na Haki ya Faragha". Sura ya 4, sehemu ya kwanza inayozungumzia haki za binadamu, Ibara ya 27 na 28.

Kwa kumbukumbu zangu kuna baadhi ya nchi kupitia Tafsiri ya vipengere hivyo Mahakama na/au Bunge wamehalalisha Ushoga.

Nina wasiwasi kwamba kama katiba yetu haitaweka bayana kuukana ushoga balaa hilo linaweza kutufikia kwa kigezo cha kutambua "uhuru wa mtu binafsi na haki ya faragha".

Naomba tujadili jinsi ya kuweza kuepuka janga hilo.
 
Back
Top Bottom