Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,750
Kwa wale waliokuwa wadogo wakati Tanganyika inapata Uhuru wake ,msidhani hii nchi haikuwa na watu walioithamini,watu wamepigania bila ya kumwaga damu,watu wamesheherekea na walifurahi ,iweje leo wengine mfike kusema hamuielewi,hamuijui ,Je nyinyi asili yenu ni wapi ? Na hata serikali yake hamutaki kuisikia na wengine wamekwenda mbali wanaona tabu kuitwa WaTanganyika na hata nchi wanaona aibu kuiita Tanganyika wanaiita Tanzania Bara ,watu hawa wanafaa kulaniwa na kushitakiwa ,ni watu wanaowaoona wale waliokuwa katika hekaheka za kuutafuta na kuudai uhuru wa nchi hii hawana maana ,Tanganyika ni lazima irudi.
Last edited by a moderator: