''Uhuru wa Tanganyika Umepatikana Kwa Dua'' Sheikh Iddi Chaurembo Maulid ya Mfungo Sita Msikiti wa Mtoro Mwinyi Mangara

''Uhuru wa Tanganyika Umepatikana Kwa Dua'' Sheikh Iddi Chaurembo Maulid ya Mfungo Sita Msikiti wa Mtoro Mwinyi Mangara

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074

View: https://youtu.be/xqip_zI7S04?si=6fp94bVbh-y6kq1_

1726374541225.png

DUA SHAMBANI KWA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAUREMBO 1956
Dua hii iliongozwa na Sheikh Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU.

Waliokaa chini kutoka kulia:
1 Sheikh Hussen Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohd I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Shk. Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al amudy family
15. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya Mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukoko
17...

Waliosimama:
1. Dossa Aziz
2. Mwalimu Thomas Plantan
3. Sheikh Haidar Mwinyimvua.
4. ...
5...
6...
7. Omar Londo
8. Mahdi
9. Boi wa Zingizi
10. Abdulwahid Sykes
11. Konyaki
12...
13. Maalim Juma Mbaruku.
14. Sheikh Salum Gundum
15. ...
16. Ramadhani I. Chaurembo
17. Mzee Mwinjuma Mwinyikambi
18. Sheikh Sueleman Takadiri
19. Mzee Rajabu Diwani
20. Mzee Ali
Waliosimama nyuma kabisa kutoka kulia:
1...
2....
3. Muhsin Mende
4...
5....
6....
7. Sheikh Abdallah Pilau
8. Sheikh Mohd Mattar
9. Al Amudy family
10. Al Amudy family
11. Sheikh. Ramadhan Abbas.

Picha na majina kwa hisani ya Sheikh Iddi Chaurembo.
 
Huyo takadir angeenda kuwasaidia na wazenji kupata uhuru kwa Dua kuliko njia ya kumwaga damu
 
Uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa umahiri wa Mwl Nyerere,John Rupia & Chief David Makwaiya.
Wacheza bao kamwe wasingeweza kuipatia uhuru Tanganyika.
 
Mzee UNO ndio waliamua
Tai...
Umesema kweli lakini nadhani kuna kitu hukijui kuhusu UNO.

Earle Seaton akiwa mshauri wa TAA Political Subcomittee katika masuala ya Mandate Territories ndiye aliyemshauri Abdul Sykes kuwa wakati umefika wa TAA kufungua mazungumzo na UNO.

Hii ilikuwa 1950 na TAA Political Subcommitee ilikuwa na wajumbe hawa: Sheikh Hassan bin Ameir (Mufti wa Tanganyika), Dr. Vedasto Kyaruzi, Abdulwahid Sykes, Hamza Mwapachu, Sheikh Said Chaurembo, Steven Abdallah Mhando na John Rupia.

Je, umetosheka na kipande hiki au niendelee?
 
Mkiambiwa msome QURUJUAN kuwalaani wale wote wanaohusika na mauaji wanaojiiita wasiojulikana mnaanza kubeza.

KIKO WAPI SASA?
 
Uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa umahiri wa Mwl Nyerere,John Rupia & Chief David Makwaiya.
Wacheza bao kamwe wasingeweza kuipatia uhuru Tanganyika.
Eti kwa dua! kha huyu mzee wa ajabu sana.
 

View: https://youtu.be/xqip_zI7S04?si=6fp94bVbh-y6kq1_


DUA SHAMBANI KWA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAUREMBO 1956
Dua hii iliongozwa na Sheikh Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU.

Waliokaa chini kutoka kulia:
1 Sheikh Hussen Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohd I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Shk. Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al amudy family
15. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya Mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukoko
17...

Waliosimama:
1. Dossa Aziz
2. Mwalimu Thomas Plantan
3. Sheikh Haidar Mwinyimvua.
4. ...
5...
6...
7. Omar Londo
8. Mahdi
9. Boi wa Zingizi
10. Abdulwahid Sykes
11. Konyaki
12...
13. Maalim Juma Mbaruku.
14. Sheikh Salum Gundum
15. ...
16. Ramadhani I. Chaurembo
17. Mzee Mwinjuma Mwinyikambi
18. Sheikh Sueleman Takadiri
19. Mzee Rajabu Diwani
20. Mzee Ali
Waliosimama nyuma kabisa kutoka kulia:
1...
2....
3. Muhsin Mende
4...
5....
6....
7. Sheikh Abdallah Pilau
8. Sheikh Mohd Mattar
9. Al Amudy family
10. Al Amudy family
11. Sheikh. Ramadhan Abbas.

Picha na majina kwa hisani ya Sheikh Iddi Chaurembo.

TANU NZIMA IN THE HOUSE, HAKUNA PICHA AMBAYO UNAWEZA KUWAPATA WAANZILISHI WOTE KWA PAMOJA, HII PICHA INATAKIWA IWEKWE KWENYE MAKUMBUSHO YA TAIFA
 
Back
Top Bottom