Uhuru wa Walimu vyuo vikuu unaingiliwa. Wakifundisha wanarekodiwa. Huu ni udikteta uchwara.

Sasa Econometrics inahusiana nini na maandamano?? Amewadhulumu watoto wa watu
 
Mwalimu akiwa kwenye eneo lake la kazi(kufundisha) anaruhusiwa kuongea chochote kuendana na mada husika anayofundisha hata kama yanapinga serikali.Hawa polisi wajitathimini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…