Uhuru wants to take over JKIA through his banks

kirk git

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
591
Reaction score
677
JKIA takeover: MPs link Kenyatta family



Parliament is investigating the link between a bank associated with President Uhuru Kenyatta’s family and the takeover of JKIA management by loss-making Kenya Airways.

Members of the Public Investment Committee, citing conflict of interest, have summoned the Kenya Airports Authority board on Thursday to respond to their growing concerns.

Lawmakers are also demanding to know the identities of the other KQ shareholders, besides the State, amid jitters that the proposed takeover of JKIA will not be viable.
 
Baada ya kununua viwanda vyote vya maziwa, kenyatta ameanza ununuzi wa mabenki ya kenya.

Hayo mabenki yana share uko KQ kupitia debt shareholding baada ya mafuriko ya hasara KQ.

Haitakuwa jambo la kushangaza kupata Kenyatta ndiye mmiliki wa ndege zote za KQ.

Lakini jina JKIA ni Jomo kenyatta international airport. Sasa biashara inarudi kwa kenyatta!
 
Majirani katika uboro wao[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mindege mizee na bado yapo kwa loan..Takataka, wainyanyue wairuse baharini, samaki watapata makao mazuri ya kuotesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…