Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
Kitu cha msingi ambacho nataka watanzania muelewe ni kwamba jambo la kimsingi ambalo tunapaswa kulipigania ni uhuru wetu. Uhuru wetu dhidi ya mataifa mengine (mabeberu) and their influence upon us. Hatutaweza kuendelea kama hatuna uhuru huo na kama tutakuwa chini ya foreign domination both in thought and phyisical. Watu wanauwezo wa kuendelea na kukua wakiwa tu wako uhuru. Our internal preservation is very important. Na uhuru huu unapokonywa katika sura tofauti ikiwemo kifikra, kitu ambacho tnatakiwa tukibadilishe. Na ni wazi kwamba huru huu dhidi ya mataifa ya kibeberu hatutaweza kuulinda kama sisi sio wamoja kwenye nchi yetu. Wahenga waliposema umoja ni nguvu hawakutania kama taifa tunahitajika kuwa wamoja na wenye malengo.
Na kazi ya mwanasiasa yeyote yule mwenye akili timamu ni kujenga umoja wa nchi na ku organize watu for the great purpose of the nation. there is sleeping power within us which is needed to be invoked. Again and again watu wetu wanahitajika kujitambua ni nini wanataka na ni wapi wanataka kwenda kama taifa na nafasi yao ni ipi katika dunia. Siamini kama tumezaliwa kuwa wa mwisho kama watu weusi. Mataifa yetu yana uwezo wa kukua na kuendelea kama tukibadilika. kama watu weusi hatujazaliwa kuwa wa mwisho na masikini katika dunia hali hii tunaweza kuibadili kitu cha kwanza tunachotakiwa kuacha ni ubinafsi.
Again and again hatutaweza kujilinda kama hatutawekeza kwenye kutengeza na kugundua silaha na kutegemea kununua tu. Tunaweza kufikiri haya mambo hayawezekani lakini yanawezekani ni nia tu na jitihada zetu za kutaka kukua na kuendelea
Lakini uhuru wa pili ni uhuru wa mtu binafsi dhidi ya serikali ya kiimla huu pia wanapaswa kujilinda nao. Wataweza tu kujilinda na serikali ya kiimla kama watakuwa wamoja na wenye sauti moja na kama watakuwa na standard of right and wrong.