1academ
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 2,316
- 3,567
Ni shangwe vifijo, nderemo hapa nchini baada ya viongozi hawa wawili nguli kukutana huko italia kwenye mkutano wa g7. Aiseee wadau hapa nipo bar tunasheherekea this major event, ninapata bapa kubwa kwa leo.
Bila shaka uhuru atashusha nondo za ukweli huko ugaibuni, huku anatema yai la ukweli na kuwaacha waswahili walioalikwa huko(if any) wanakenua[emoji3] [emoji109] .. swali ni yule mwengine angealikwa huko mambo yangeendaje maana unge'nge ulishamkataaga hehee!