UHURUTO 2013 Campaign Images.

hamna kitu hapa scandal ya mashamba ya Taita-Taveta county imeharibu kila kitu Uhururo hawana chao Mombasa
 
hamna kitu hapa scandal ya mashamba ya Taita-Taveta county imeharibu kila kitu Uhururo hawana chao Mombasa

...hawana kitu Mombasa ilhali watu wamejaa uwanjani wakiwa na furaha ya kumuona?haters!!!....

...Kumbuka kuwa Uhuruto hawahitaji ata 51% ya kura za Pwani, wao ata wakipata 20% tu zinawatosha sana kuwasogeza kwenye ushindi wa round one...
 
Duh sukutarajia Uhuruto wangepata umati mkubwa hivi Ab-Titchaz naomba maoni yako.
 
Last edited by a moderator:
hao jamaa wakipata uraisi watanunua nusu ya kenya iliyobaki kwani kwamujibu wa doctrine ya willful buyer and willful sealer wataendeleza uchu huo kwani bagaining power itaongezeka na hakuna mtu atakayekubali kubagain na raisi na wakenya wote watakuwa squatters
 
Ktk matajiri 12 wa kenya wa kwanza Moi Family wa pili Kenyatta Family
 
Nilikuwa naangalia habari mbalimbali za kenya(online), eti zinasema kuwa Uhuru ame-gain polls na Raila ame-loss polls kwenye 2nd debate, wakati ile issue ya land imem-crash kabisa Uhuru. Wakenya ukabila utawaua.
 
The sins of the father...
 
Duh sukutarajia Uhuruto wangepata umati mkubwa hivi Ab-Titchaz naomba maoni yako.

Mkuu,

hawa jamaa si eti hawana support bali wana watu wao waliolenga ukabila zaidi kuliko hoja.
Hawa ndio wanawapa ubavu. Hata hivyo Kenya kuna watu wengi tu ndo maana unakuta hii
mikutano inafura kiasi hiki. Pia kumbuka njaa inaleta watu katika hii mikutano maana kuna
kulipwa pia.
 
Nasikia Kenya wanazungumza sana kiinglish.Vipi Mombasa nao wako vema?
 
Thank you all for the support you have shown us today and for your commitment to deliver a Jubilee Government come March 4. Get Out in large numbers and vote for UhuRuto.

I am excited that the people of Laare will be coming out in large numbers come March 4th to vote for a Jubilee Government. Let us make this a round one win so that our agenda to transform Kenya can begin immediately. Thank you and God Bless you all.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…