Aisee, niliwahi kufika pande hizo za Murang'a siku mingi sana nikiwa school boy. Naona raia wamewapokea kwa bashasha UhuRuto.
Mkuu UhuRuto ndo wanamalizia mambo. Tusubiri March 4 tuone itakuwaje, but for sure, UHURUTO 2013.
Nilikuwa naangalia habari mbalimbali za kenya(online), eti zinasema kuwa Uhuru ame-gain polls na Raila ame-loss polls kwenye 2nd debate, wakati ile issue ya land imem-crash kabisa Uhuru. Wakenya ukabila utawaua.
refer the concept of original sin according to the teachings of the then bishop of hippo (St. Augustine)The sins of the father...