UHURUTO 2013 EMBLEM (Union of 4 Parties - URP;TNA;NARC;RC)

UHURUTO 2013 EMBLEM (Union of 4 Parties - URP;TNA;NARC;RC)

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
560004_448163931919241_509507590_n.jpg
 
Angalia WALIVYO KIMAJIMBO HIYO TRENI inasema NAIROBI; KISUMU; MOMBASA... Sasa Wa Kaskazini JASHO TUPU NDIVYO KENYA ILIVYO ukipata KURA Maeneo TRENI inapopita UNAKUWA RAIS ndio MAKABILA MAKUBWA yalipojipanga
 
So far Uhuru anaongoza kwa kuadress issue ya ukabila vizuri ila kwa point chache...wote wamejiandaa vizuri sana...
 
Hilo treni ilikuwa miongoni mwa ahadi za Dr. Slaa 2010 kwamba kama angechaguliwa watu wangekuwa wanalala Mwanza na Kigoma na kufanya kazi Dar. Ha ha ha ha!
 
Uchaguzi wa Kenya unazidi kuwa mtamu....Ngoja leo niangalie News at 9 Citizen Tv..
 
So far Uhuru anaongoza kwa kuadress issue ya ukabila vizuri ila kwa point chache...wote wamejiandaa vizuri sana...

I beg to differ, Martha Karua na Odinga nao wame- address issues hata hivyo debate ni nzuri sana.
 
...kwa attitudes hizi za viongozi wa Kenya, Kuna haja ya kuimarisha JWTZ!...
 
Hawa wote ni wakabila ila nimependa malumbano yao yanaonyesha wamekomama kisiasa. wamejipanga
 
Back
Top Bottom