Uhusiano huu siuelewi naomba msaada tafadhali

Positive product ya kujamiana ni "mtoto" wewe hutaki mtoto ila kujamiana unataka!!!
 
pole sana dada yangu kwa yaliyo kukuta, mi ninavyoona huyo kaka ni tapeli wa mapenzi na hajui anachokitaka.......beta earlier than later, bora usepe mapemaaaaaaa natumaini u-mzuri na utapata mwingine.Mungu atamfundisha tu maana malipo ya kila kitu ni hapa hapa duniani......
 
jamani Nashukuru kwa mawazo yenu, nitayafanyia kazi na naona mmenifungua macho....Mungu awabariki wote
 
mdada pole sana kwa kujitahidi kuonyesha unajali japo unaonekana unamapungufu kiuwezo wa kutathimin mapenz...
inakuwaje umruhusu mwanaume awe anakujali kwa kukutumia msg asubuhi mchana na jioni /usiku kama dose ya panadol???? huna msimamo??? kwa nini unashindwa kusema hutaki au ndo ulikuwa unapenda staili hiyo na matokeo yake ikakugarimu kuachana na bf wako

haikutosha, ukaona ndo mwanaume anafaa au kwa vile vijimeseji ndo ukaenda kujiachia kwake sasa unategemea akufanyoe nini zaidi ya kukuchezea atakavyo maana huna mwelekeo ndo maana anaendelea na mahusiano mengine kwa kuamini huna msimamo ....

wewe umejigeuza uwanja wa mazoezi na angekuzalisha ndo ungeelewa nini maana ya msimamo... maana hata ushauri tukikupa bado huna msimamo na inaonekana ulikuwa unampa toka ukiwa na bf wako
 
Hapa ndipo pale tunaposema kupenda pasipopendeka.

Jamani let love lead the way, acheni kuweka materitory kwenye mapenzi ya kutamaniana....

Piga chini huyo mtu, we unampenda lakini Babu ODM nakuambia: Amini amini, Huyo Bwana hakupendi!
 
Hapa ndipo pale tunaposema kupenda pasipopendeka.

Jamani let love lead the way, acheni kuweka materitory kwenye mapenzi ya kutamaniana....

Piga chini huyo mtu, we unampenda lakini Babu ODM nakuambia: Amini amini, Huyo Bwana hakupendi!
Yaani unashindwa kunipa mwaliko hadi napewa na Blaki Womani
 
Kunahitajika 'definition' mpya ya neno mapenzi hapa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…