Uhusiano huu siuelewi naomba msaada tafadhali

udereva APPROVED
Chukua binamu tupa kule, Kamata draiva weka hapa..............vrrrruuuuuuum mpaka kwa mromboo, chukua nyama tupa kule, kamata maini weka hapa............ vrrrruuuuuuuuuuum chukua Shivaz tupa kule, kamata Picnic Weka hapa, kamata valuu tupa kule, chukua Taska Malti weka hapa.................. Vruuuuuuuuuuuum chukua jirani peleka kule, kamata Binamu tembea kule!

COME ON!
 

hahahahahah..........vrrrrrrruuuuuuuuuuu chukua dereva tupa kule chukua binamu weka hapa
 
acha kumwendekeza huyo vuvuzela...na ww unashangaza sana...yaan umeachana na bf wako kwa mambo ya kijinga???ulishndwa nn kumthibitishia huyo ex bf wako hauna uhusiano na huyo mtu???ulikuwa unampenda huyu jamaa yako...
 
Pole dada, huyo jamaa ni tapeli wa mapenzi.
 
daaahh..................chukua chumba Y tupa kule............. vruuuuuuuuuuuuu chukua chumba Z weka hapa............
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa hahahahahaha...................hehehehehe hahahahaha!
 
daaahh..................chukua chumba Y tupa kule............. vruuuuuuuuuuuuu chukua chumba Z weka hapa............
Kamata Kijenge gesht haush tupa kule............ kamata biya Picnic weka hapa...........!
 
dah pole sana mdau, inaonekana wewe huna hadhi ya kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…