we mdada akili yako fupi kama pimbi, kama unashindwa kuchukua uamuzi hadi katika mazingira kama hayo, basi akili yako si ya mwanamke wa kuolewa na kutunza familia, mwanamke mwenye maamuzi yenye faida.....kwa upendo kabisa, nakushauri usiingie kwenye mbwa mwitu anayejifanya kwako kondoo, utakonda kwa mawazo na utakuwa mwiba kwako maisha yako yote ya ndoa hadi utakufa mapema....na hata ukijaolewa naye na kuachika, huko kuachika litakuwa kovu na alama ya wanaume kukuogopa na utakuwa umepungua sana hadhi yako dadangu....mimi huwa napenda wanawake wenye msimamo na busara za kufanya maamuzi ya kuendelea na kitu au la, kama hana kitu hicho huyo atakuwa mzigo kwani nyumbani kwangu nitakuwa tegemezi wa akili na kila kitu..sitafaidi kitu toka kwake....