Uhusiano huu siuelewi naomba msaada tafadhali

dada jibu unalo ila hutaki kukubali ukweli, huyo kaka ni bazazi, hafai mtini wala shimoni, embu jiamini na ujue thamani yako, kifupi ACHANA NAE NA ACHA KULAZIMISHA MAPENZI
 
yan kusoma hujui hata picha nayo hujui kuiangalia cha msingi we sepa na ukirogwa akupe mimba imekula kwako utamlea ww peke yako wakat huo yy anaponda raha na ma x wake wanaume wengi fanya decition mapema
 

Huo ndio ukweli anataka ushauri gani tena!!asubiri UKIMWI tu maana kama ni kutopendwa ameoneshwa anasubiri nn tena achape rapa tuu!!!atamuua huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…