There you are brother, mimi binafsi nilikuwa sikiamini wanachokisema wadau ya kuwa si lazima raisi wa Tanzania kuwa spy. Nikawa najiuliza sana, if that is the case, how come raisi kwa namna moja ama nyingine anaweza kuziongoza taasisi hizi(as kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa, taasisi hizi za kipelelezi hazijitegemei kimaamuzi 100%).
Kama ndivyo wasemavyo wadau hapo juu ( kuwa waweza kuwa raisi pasipo kupitia mafunzo ya uspy), jee hii imekaaje kimtazamo kiuchumi, kiusalama na maendeleo ya nchi kwa ujumla wake.? Je ni nini faida na hasara za hili jambo.?