Habari zenu wana jf, nina kitu kinanikwaza hebu tupeane mawazo kwa mwenye uelewa mzuru wa hili!!! Kuna scholarship za china kwa masters na phd ambazo miaka yote hasa yakaribuni zimekua zikitolewa na wizara tajwa (ELIMU), vigezo vyao vikubwa ni uwe na GPA 3.5 and above, birth certificate, transcript na university certificate, pia kama ulisoma digree ya kwanza kwa mkopo wa bodi unatakiwa uwe umeanza kulipa deni ndo uombe.
Kwa kifupi vigezo vyote ninavyo kasoro hicho cha kuanza kulipa, ila wale china wanasema watatoa kila kitu kasoro nauli ya kwenda tu ndo inatakiwa kua juu yako, hapo ndipo bodi yamikopo imeingilia kati nakusema itatoa mikopo ya nauli kwa watakao chaguliwa, wakati huohuo mimi nimemaliza degree yangu 2010 na nimeanza kazi 2011 january hadi sasa ninamwaka 1 na nipo ndani ya hiyo wizara ya elimu pia na bodi hawajaanza kunikata hela yao na mimi nahitaji kuomba hiyo scholarship niende zangu kusoma, je hapo nafanyeje??
Mawazo yenu ndo mafanikio yangu, KARIBUNI