Uhusiano kati ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni tete sana

Benmpo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
450
Reaction score
423
Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani.

Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda mrefu kutokana na kuwa kila chama kimekuwa kikiangalia maslahi yake binafsi badala ya umoja wao. Kila chama kina lengo la kujitangaza na hivyo kuwa chama kikuu cha upinzani, hivyo kumekuwa na marumbano ya nani hasa asimamishwe kuviwakilisha vyama hivyo hasa kwa nafasi ya Urais. Wakati ACT-Wazalendo wakimnadi Bernard Membe, CHADEMA wao wanamnadi Tundu Lissu kuwa ndiye mtu sahihi kwa nafasi hiyo ya juu kabisa.

Ikumbukwe kuwa Viongozi wa ACT-Wazalendo walisusia tukio la kupokelewa kwa Lissu katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA) hapo tarehe 27/07/2020 akitokea nchini Ubelgiji. Aidha ACT-Wazalendo hawakushiriki uhuni uliotaka kufanywa na Chadema pale Uwanja wa Uhuru kwenye Tukio na kumuaga Rais Mstaafu Benjamin Mkapa. Wakati CDM wakishindwa kufuata maelekezo yaliyotolewa na Serikali kwa lengo la kumpaisha Lissu kisiasa, ACT-Wazalendo wao waliufuata utaratibu huo na viongozi wao walikaribishwa vizuri kabisa, akiwemo Mwenyekiti wao wa Taifa Ndugu Maalim Seif.

Vyama hivyo vimekuwa vikipeana ushauri ambao kimsingi una lengo la kukiua chama kingine kisiasa. Vilikubaliana wafuasi wao wajitokeze pale JNIA kumpokea Lissu, lakini ACT-Wazalendo wao wakashindwa kufika. Pia wakaweka mipango ya namna ya kuingia Uwanja wa Uhuru ambayo itamtangaza Lissu, wao ACT-Wazalendo wakafuata utaratibu wa Serikali. Kimsingi vyama hivi havina uhusiano mzuri, vimekuwa vikihujumiana kwa kiasi kikubwa.
 
Acha ushamba, mbona hata kwenye ndoa za kanisani kabisa bado zina shida? Hususan vyama? Hii nayo ni hoja kweli??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kati ya Chama ambacho Kwanza hakina mvuto licha kwamba huwenda walioko kwenye hicho Chama Wana mvuto Ila Jina la Chama hicho kinawafubaisha mvuto wao, ni ACT bhana,!!

Membe asipotajwa tajwa hapa, anakuwa kama hajawahi kuwepo kabisa duniani! Mtanisamehe wadau
 
Haviwezi kuwa na uhusiano na havijawahi na haitakiwi kuwe na mahusiano..kumbuka vyama hivi vina misingi tofauti kabisa kwa hiyo haviwezi kufanana katika ideology.kwa Nini unafosi vihusiane?
 
Haviwezi kuwa na uhusiano na havijawahi na haitakiwi kuwe na mahusiano..kumbuka vyama hivi vina misingi tofauti kabisa kwa hiyo haviwezi kufanana katika ideology.kwa Nini unafosi vihusiane?
 
Acha ushamba, mbona hata kwenye ndoa za kanisani kabisa bado zina shida? Hususan vyama? Hii nayo ni hoja kweli??

Hoja yako nini hapa mbona hueleweki? Unafanyaje comparison of the unlike kiasi hicho? Kweli nyumbu ni nyumbu tu
 
Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani.

Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda mrefu kutokana na kuwa kila chama kimekuwa kikiangalia maslahi yake binafsi badala ya umoja wao. Kila chama kina lengo la kujitangaza na hivyo kuwa chama kikuu cha upinzani, hivyo kumekuwa na marumbano ya nani hasa asimamishwe kuviwakilisha vyama hivyo hasa kwa nafasi ya Urais. Wakati ACT-Wazalendo wakimnadi Bernard Membe, CHADEMA wao wanamnadi Tundu Lissu kuwa ndiye mtu sahihi kwa nafasi hiyo ya juu kabisa.

Ikumbukwe kuwa Viongozi wa ACT-Wazalendo walisusia tukio la kupokelewa kwa Lissu katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA) hapo tarehe 27/07/2020 akitokea nchini Ubelgiji. Aidha ACT-Wazalendo hawakushiriki uhuni uliotaka kufanywa na Chadema pale Uwanja wa Uhuru kwenye Tukio na kumuaga Rais Mstaafu Benjamin Mkapa. Wakati CDM wakishindwa kufuata maelekezo yaliyotolewa na Serikali kwa lengo la kumpaisha Lissu kisiasa, ACT-Wazalendo wao waliufuata utaratibu huo na viongozi wao walikaribishwa vizuri kabisa, akiwemo Mwenyekiti wao wa Taifa Ndugu Maalim Seif.

Vyama hivyo vimekuwa vikipeana ushauri ambao kimsingi una lengo la kukiua chama kingine kisiasa. Vilikubaliana wafuasi wao wajitokeze pale JNIA kumpokea Lissu, lakini ACT-Wazalendo wao wakashindwa kufika. Pia wakaweka mipango ya namna ya kuingia Uwanja wa Uhuru ambayo itamtangaza Lissu, wao ACT-Wazalendo wakafuata utaratibu wa Serikali. Kimsingi vyama hivi havina uhusiano mzuri, vimekuwa vikihujumiana kwa kiasi kikubwa.
Haya tumekusoma mwana Lumumba. Hongera kwa uzi.
 
Kwann washirikiane ili tu kuiondoa CCM madarakani? Inamaana chama kimoja kimoja hakina mbinu na mikakati ya kushika dola bila kuunganisha nguvu!?? Kila chama kijipange kivyake! Ndio demokrasia hiyo
 
Kwa Tanganyika, ACT hana nguvu ya kumsaidia Chadema na ndio maana anahangaika ajiunge na Chadema, ili waachiane majimbo wapate ulaji kidogo .
Kwa ZNZ, kweli ACT ananguvu kuliko Chadema na kwa utaratibu wa kuachiana majimbo, Salum Mwalimu anaweza hatimaye timiza ndoto yake ya kuingia mjengoni.

I hope Chadema wako makini na wanajua wanachofanya. Binafsi, sijawahi muamini Zitto Kabwe wala Maalim.
 
Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani.

Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda mrefu kutokana na kuwa kila chama kimekuwa kikiangalia maslahi yake binafsi badala ya umoja wao. Kila chama kina lengo la kujitangaza na hivyo kuwa chama kikuu cha upinzani, hivyo kumekuwa na marumbano ya nani hasa asimamishwe kuviwakilisha vyama hivyo hasa kwa nafasi ya Urais. Wakati ACT-Wazalendo wakimnadi Bernard Membe, CHADEMA wao wanamnadi Tundu Lissu kuwa ndiye mtu sahihi kwa nafasi hiyo ya juu kabisa.

Ikumbukwe kuwa Viongozi wa ACT-Wazalendo walisusia tukio la kupokelewa kwa Lissu katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA) hapo tarehe 27/07/2020 akitokea nchini Ubelgiji. Aidha ACT-Wazalendo hawakushiriki uhuni uliotaka kufanywa na Chadema pale Uwanja wa Uhuru kwenye Tukio na kumuaga Rais Mstaafu Benjamin Mkapa. Wakati CDM wakishindwa kufuata maelekezo yaliyotolewa na Serikali kwa lengo la kumpaisha Lissu kisiasa, ACT-Wazalendo wao waliufuata utaratibu huo na viongozi wao walikaribishwa vizuri kabisa, akiwemo Mwenyekiti wao wa Taifa Ndugu Maalim Seif.

Vyama hivyo vimekuwa vikipeana ushauri ambao kimsingi una lengo la kukiua chama kingine kisiasa. Vilikubaliana wafuasi wao wajitokeze pale JNIA kumpokea Lissu, lakini ACT-Wazalendo wao wakashindwa kufika. Pia wakaweka mipango ya namna ya kuingia Uwanja wa Uhuru ambayo itamtangaza Lissu, wao ACT-Wazalendo wakafuata utaratibu wa Serikali. Kimsingi vyama hivi havina uhusiano mzuri, vimekuwa vikihujumiana kwa kiasi kikubwa.
II hoja nayo ina malipo huko Lumumba?
 
Ushamaliza kunya kachambe sasa
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Hoja yako nini hapa mbona hueleweki? Unafanyaje comparison of the unlike kiasi hicho? Kweli nyumbu ni nyumbu tu
Nguruwe wa Lumumba ni nguruwe tu.
JamiiForums-1364449287~2.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani.

Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda mrefu kutokana na kuwa kila chama kimekuwa kikiangalia maslahi yake binafsi badala ya umoja wao. Kila chama kina lengo la kujitangaza na hivyo kuwa chama kikuu cha upinzani, hivyo kumekuwa na marumbano ya nani hasa asimamishwe kuviwakilisha vyama hivyo hasa kwa nafasi ya Urais. Wakati ACT-Wazalendo wakimnadi Bernard Membe, CHADEMA wao wanamnadi Tundu Lissu kuwa ndiye mtu sahihi kwa nafasi hiyo ya juu kabisa.

Ikumbukwe kuwa Viongozi wa ACT-Wazalendo walisusia tukio la kupokelewa kwa Lissu katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA) hapo tarehe 27/07/2020 akitokea nchini Ubelgiji. Aidha ACT-Wazalendo hawakushiriki uhuni uliotaka kufanywa na Chadema pale Uwanja wa Uhuru kwenye Tukio na kumuaga Rais Mstaafu Benjamin Mkapa. Wakati CDM wakishindwa kufuata maelekezo yaliyotolewa na Serikali kwa lengo la kumpaisha Lissu kisiasa, ACT-Wazalendo wao waliufuata utaratibu huo na viongozi wao walikaribishwa vizuri kabisa, akiwemo Mwenyekiti wao wa Taifa Ndugu Maalim Seif.

Vyama hivyo vimekuwa vikipeana ushauri ambao kimsingi una lengo la kukiua chama kingine kisiasa. Vilikubaliana wafuasi wao wajitokeze pale JNIA kumpokea Lissu, lakini ACT-Wazalendo wao wakashindwa kufika. Pia wakaweka mipango ya namna ya kuingia Uwanja wa Uhuru ambayo itamtangaza Lissu, wao ACT-Wazalendo wakafuata utaratibu wa Serikali. Kimsingi vyama hivi havina uhusiano mzuri, vimekuwa vikihujumiana kwa kiasi kikubwa.

Umeeleza Vyema Sana ingawa Umekosa Mifano thabiti ya kuipa Uzito Hoja yako.

Mosi!Sikweli kwamba Viongozi wa ACT-Wazalendo hawakufika Kwenye Mapokezi,Viongozi na Wanachama wa ACT walifika pale Tena Mapema sana, Fuatiria Account za CDM zililipoti na kuandika Hilo,Hivyo Sikweli Kwamba Hawakufika.

Pili,Tukio la Uhuru liko Wazi Kabisa Ni Uzembe wa CDM ukitaka Kujua Angalia Barua ya CDM juu ya Tukio la Uhuru,Wanasema Ratiba waliyo kuwa nayo Ili Onesha Viongozi wa Serikali wataangia 9:30-10:20 Asbh,Wao kwa Madai Yao walifika 9:00 Asbh,means Walifika Nusu saa kabla??? Katika Mazingira haya ACT wanaingiaje hapa??? Ikiwa CDM walifika Uhuru ikiwa MH Rais kishaingia Uwanjani,Ulitaka Viongozi wa ACT-Wazalendo watoke nje??? Au wapinge Utaratibu Kaka,katika hili pia Itifaki iko wazi mkuu hakuna wakulaumiwa zaidi ya CDM wao wenyewe hawakucheza vyema kiakili.

NB

Pamoja na ACT-Wazalendo kuto kuonesha Kuwazunguka CDM katika matukio hayo mawili,isitoshe kusema kuwa ACT na CDM ni Marafiki wa Kweli,In fact Hawa Ni maadui wanao chekeana ukitaka Kujua refer back 2019 na mwanzoni mwa mwaka huu,siasa ilivyo kuwa ikienda.

Ahsante
 
Kila chama makini cha upinzani dhamira yake kuu ni kuishika dola, kimahesabu "under mutually independent environment" CDM na ACT Wazalendo hali kadhalika, hasa kwa sasa tuelekeapo uchaguzi mkuu wa mwaka huu, vikiwa kama vyama huru vina dhamira hiyo hiyo bila kujali kingine kinafanya nini.

Lakini kwa kadiri kampeni zitavyokuwa zikiendelea, na pia kwa kuzingatia sheria hairuhusu miungano ya vyama kuwa chini ya mwamvuli mmoja, basi upepo wa kisiasa unaweza kulazimisha mgombea mmoja kujitoa ili kumuunga mkono mwingine kutokana na mvuto wake unavyoonekana mbele ya wapiga kura. Ni ukweli mtupu ya kuwa Maalim Seif anakubalika sana kwa upande wa Tanzania Visiwani, hivyo basi vyote vigezo vya hisabati na ithibati vinakipa kete ya ushindi chama cha ACT Wazalendo.

Kwa upande wa Tanganyika, yaani Tanzania Bara bado kuna changamoto kumpata mtu sahihi mwenye uwezo wa kumkabili vyema mgombea wa chama tawala. Suala hapa wala si kuwa na matamanio ya kusa chama kikuu cha upinzani, bali ni kumpata mtu sahihi aliye na mvuto na pia katika kujenga hoja, ushawishi na hata kuaminika kwa kauli zake na wapiga kura.

Hapo ndipo vyama hivi viwili vikubali kukubaliana ama kukutokubaliana pale inapowapasa kufanya hivyo. Mgombea wa chama tawala si wa kispoti, huyu ni Rais aliyekuwa bado yupo madarakani. Kwa katiba tuliyokuwa nayo, kukabiliana naye ni sawa kabisa na kukabiliana na vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom