Uhusiano kati ya kujaamiana na maumivu ya magoti.

Mteule halisi

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
197
Reaction score
97
Habari za wikiendi mabibi na mabwana!

Nimekuja na swali nnaimani kuna madokta humu watanipa ufafanuzi. Kipindi kama cha miezi mitatu nimekua nikisikia maumivu makali kwenye magoti pindi ninapopanda ngazi au nikiwa nataka kukanyaga sehemu yoyote yenye muinuko lakini sehemu tambalale sisikii maumivu. Sasa hali imekua tofauti kwa sasa baada ya kua mbali na mchumba wangu takribani kama mwezi umepita naona yale maumivu hayapo tena kiasi cha kujiuliza au kushiriki tendo mala kwa mala ni chanzo cha matatizo ya magoti? Na kama sio chanzo nini husababisha hali hiyo? Naomba msaada wa kitabibu waungwana.
 
Subiri bado tunapita round tukimaliza tutakuja
 
Katika mazingira haya nikama vile unatutaka tupige ramli, hayo ni maradhi, nenda kafanyiwe diagnosis utajua unachoumwa.
 
Kula mzigo kisha kanywe kongoro
 
inaonekana ukiwa na demu wako unakula sana mbuzi kutaka misifa uonekane unazo kumbe unajimaliza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…