Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
wadau, leo narudi kwenu na hili swali?? Je kuna uhusiano gani kati ya biashara na mikopo?? naaamini limepatwa ulizwa hapo kabla coz jf ina kila kitu?? but ningependa kupata knowledge na mawazo mapya juu ya hilo huku tukifunzana kwa pamoja. natanguliza shukrani.