Uhusiano kati ya mimba na premature ejaculation

Mkongoli

Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
15
Reaction score
4
Kama mada inavyojieleza...hivi mtu mwenye premature ejaculation anaweza kumpa mwanamke ujauzito??....na je kama ni kweli huyo mtoto atakayezaliwa hatakuwa na mapungufu??... MziziMkavu na wataalamu wengine wa jukwaa nawasilisha kwenu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Kumwaga mapema unaweza kumpa mwanamke mimba ili

mradi hizo Sperm zako ziwe na nguvu ya kuweza kulifikia yai la uzazi. Kumwaga mapema hakuwezi kusababisha

mwanamke asipate mimba. Ukitaka kumpa mimba mwanamke inatakikana ujuwe ni siku gani kwa kila mwezi mwanamke yai lake

la uzazi lipo karibu na njia ya kushika mimba. Itabidi ujuwe siku anazopata Damu ya hedhi na siku anazo maliza

Damu ya hedhi ndio utaweza kumshikisha mwanamke mimba ndio hivyo.
 
Ahsante MziziMkavu.....Nilikuwa tu nataka uhakika maana mpenzi wangu amepata mimba.....Happiest than I ever been
 
Last edited by a moderator:
Ahsante MziziMkavu.....Nilikuwa tu nataka uhakika maana mpenzi wangu amepata mimba.....Happiest than I ever been
Ningelikukatalia ningeleta ugomvi baina ya wewe na mke wako kumbe? Ningeleta Fitina ndani ya ndoa? Ungelihisi mke wako amekusaliti nini? ahhhhh sawa asante kwa feedback basi hata kunipa like unashindwa? Sawa tu.
 
hahaha...ushapata yangu, usijali
 
Mkuu Mzizi mkavu baadhi ya simu hazionyeshi like,na hasa kwa smartphone kama hajaweka desktop mode!
 
Ningelikukatalia ningeleta ugomvi baina ya wewe na mke wako kumbe? Ningeleta Fitina ndani ya ndoa? Ungelihisi mke wako amekusaliti nini? ahhhhh sawa asante kwa feedback basi hata kunipa like unashindwa? Sawa tu.

Hahaa..mkuu MziziMkavu kweli sikutoa Like ila nilisema ahsante....unajua wengine tunashift mara simu mara desktop ndugu yangu.....nimeshakupatia like za kutosha mkubwa wa kazi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…