BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Hivi kuna nini huko Dar es Salaam, naskia watu wana sema ema eti wananchi wamefungwa kwa sababu ya jezi zao za kiini Cha Yai. Eti wangekuwa na nyeusi Ihefu wasinge chomoka.
Sasa mimi nataka kujua kutoka kwa wale wenye maono ya kiroho rangi nyeusi inasababishaje unbeaten.
Kwa wale wa mambo ya Giza hata Mshana anajua. Walozi wote Duniani hutumia paka mweusi kudhuru mwanadamu mwenzie. Ila rangi ya kiini cha Yai haipo kwenye kuleta madhara.
Rangi nyeusi ya mwananchi mmmmmm. Ufafanuzi jamani