Naomba kuuliza wadau, hivi Kuna uhusiano gani Kati ya rangi ya Ngozi ya binadam na rangi ya nywele zake,? Je kuna uhusiano wowote ule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mweupe Sana hawezi kuwa na nywele nyeusiNaomba kuuliza wadau, hivi Kuna uhusiano gani Kati ya rangi ya Ngozi ya binadam na rangi ya nywele zake,? Je kuna uhusiano wowote ule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haziwezi kuwa nyeusi Kama zakwetu. Chunguza utaona. Au ushaona albino ananywele nyeusi?