Kufafanua kitaalam sana sijui lkn mahusiano yapo ya moja kwa moja maana vyote vinahusisha mfumo wa fahamu.Habari za jumapili wanajamvi? Ningependa kuuliza juu ya uhusiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kupata siku za mwezi mwanamke mwenye kufahamu juu ya hili Tafadhali.
MeWe ni jinsia gani!?
Sasa si utupe uzoefu wako... Nini hutokea kwako..!?
Nmeulizaa manake nataka kujua kama huelewi acha wanaoelewa wajibuSasa si utupe uzoefu wako... Nini hutokea kwako..!?
Habari za jumapili wanajamvi? Ningependa kuuliza juu ya uhusiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kupata siku za mwezi mwanamke mwenye kufahamu juu ya hili Tafadhali.
Hii imempata dada yangu na hana mimba hajafanya mapenzi hivyo nahitaji kujua kitaalam imekaajeNgoja week 2 ziishe ukapime tu mimba, usitafute kujipa moyo kwamba stress zachelewesha MP...
Stupid..... Sasa kama ishu inakuhusu mwenyewe na huwezi share... Umeambiwa hapa kuna waganga .... ShtNmeulizaa manake nataka kujua kama huelewi acha wanaoelewa wajibu
Wewe na dada yako kama wachina vile, unajua hajafanya mapenzi kwa miezi minne na ukaenda mbali zaidi kuwa hajaona siku zake, duuuuuh!Habari za jumapili wanajamvi? Ningependa kuuliza juu ya uhusiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kupata siku za mwezi mwanamke mwenye kufahamu juu ya hili Tafadhali.
Nina dada yangu ambaye amepata matatizo kikazi kwaiyo karudi nyumbani. Ana mawazo sana... Na imetokea mwezi huu hajapata siku na hajafanya mapenz kwa miez minne iliyopita.
Hii imempata dada yangu na hana mimba hajafanya mapenzi hivyo nahitaji kujua kitaalam imekaaje
teh mkuu kwa kuniita weweNgoja aje natafuta atakuelezea
ni kweli mkuu .ndo maana nakupenda watu wanatokwa povu utadhani walikuwepo akipigwa mitiStress huvuruga homoni ambazo ndizo hu control munguko wa MP.
Ni kitu cha kawaida tu kama hana mimba.
Wala isikupe tabu sana.