juvenile davis JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 4,752 Reaction score 4,467 Jun 12, 2016 #21 Huyo ni wewe tu ila unazuga ni dada ako,umejuaje kama hajapakuliwa miezi ninne?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Jun 12, 2016 #22 natafuta said: ni kweli mkuu .ndo maana nakupenda watu wanatokwa povu utadhani walikuwepo akipigwa miti Click to expand... Ni kawaida ya JamiiForum watu kutoa opinions badala ya facts mkuu hasa mambo yanayohusu kugegedana. Huyo bidada yawezekana chanzo cha tatizo lake ni kidogo tu, yawezekana akipata kazi mpya moyo ukatulia atarudi kwenye mstari.
natafuta said: ni kweli mkuu .ndo maana nakupenda watu wanatokwa povu utadhani walikuwepo akipigwa miti Click to expand... Ni kawaida ya JamiiForum watu kutoa opinions badala ya facts mkuu hasa mambo yanayohusu kugegedana. Huyo bidada yawezekana chanzo cha tatizo lake ni kidogo tu, yawezekana akipata kazi mpya moyo ukatulia atarudi kwenye mstari.