CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
wANA MMU, Saudi Arabia law makers wanasema hawawezi kuruhusu wanawake kuendesha magari sababu wakiruhusiwa wataharibu bikira. jamani hivi kuna uhusiano gani kati ya kuendesha na preservation ya bikira kwa wasichana.
yan wanazaliwa zikiwa tayari zimetoka eeh!!Hakuna birika siku hizi,mwenye nayo bahati tu.
inaweza ikawa kweli,kuna dada mmoja kanigonga kwa nyuma leo asubuhi kwenye taa za mianzini alivyokuwa anatetemeka nilimwonea huruma na kama angekuwa na bikra angeiacha palepale.
bahati nzuri gari yangu ina tairi mlango wa nyuma kwa hiyo haijaumia.