siyo wote na siyo kwamba hawapo! ni kawaida sana........chuo ni next step of growth my friend. ni mazingira tofauti na secondary. Hakuna cha ajabu.
Nimeipenda hoja yako, nadhani lazima zipo research hasa za masters in education, zinaweza saidia ku- analyse factorsPoleni na Majukumu ya wiki nzima;
Naomba mawazo yenu katika hili!
Wanafunzi wanaopata Division One kidato cha sita hupewa kipaumbele sana na baadhi ya vyuo kama UDSM,Mzumbe na kwingineko.
Tulitegemea wafaulu sana wanapokuwa vyuoni, lakini bado kunakuwa na sup(kukamatwa), pamoja na wengine kuacha kabisa, na wengine ku-disco. Inasikitisha kuona mtu amefaulu kidato cha nne, sita anashindwa kuhitimu Chuoni.
Wadau tatizo hapo ninini?
Wengi huwa wanajisahau na wengne hujiona wao ndo wao kwa kuwa wamepga div 1 zenye points kali.vile vile wengne hujikuta hawafanyi vzr kutokana na kozi wanazokua wamechaguliwa kusomea,mfano mtu uliomba let say kusoma bcom,wao wanakuchagua kusoma sheria na wkt mtu anakua hana future yoyote na sheria hyo nayo inawafanya vijana wengi kutokua makini na shule kivile.