C Cutie M Member Joined Nov 9, 2015 Posts 14 Reaction score 2 Nov 24, 2015 #1 Huwa nasikia mtu umri ukienda akili zinarudi kama mtoto, eti kuna uhusiano gani kati ya kuwa na umri mkubwa na akili kudumaa au kurudi nyuma?
Huwa nasikia mtu umri ukienda akili zinarudi kama mtoto, eti kuna uhusiano gani kati ya kuwa na umri mkubwa na akili kudumaa au kurudi nyuma?
tomjelly JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 560 Reaction score 198 Nov 26, 2015 #2 jukwaa la jf doctor. wanakuja, wait.