Heshima mbele wakuu,
Shemeji yenu alijifungua kwa njia ya upasuaji mwaka na nusu umepita sasa, lakini kila uchao tumbo halipungui utadhani ana nyingine. Na nikumwambia atafute namna ya kupunguza kanambia kuwa mwanamke akijifungua kwa njia ya upasuaji tumbo haliwezi kuwa dogo kamwe.
Kama n mnene, sahau kupungua, ila mwembamba linapungua. Mazoezi ya tumbo ngumu, maana tayari ana mshono. Apunguze vyakula vya mafuta, wanga, maji ya moto anywe sana, na ndimu