Kwa bahati mbaya jukwaa hili limekuwa so complacent kujadili non issues na kuacha mambo ambayo ya muhim kwa nchi hii na mijawapo ni hili la National Security pamoja na National Interest. Natumai Invisible atafanya kiakao cha dharura na wahusika ili kuwekana sawa kuhusu JF inakoelekea na vipi kuweza kubadili hii safu kwani ukweli usiopingika kuwa jukwaa la siasa ndio linalotembelewa sana na wasomaji pamoja na wachangiaji wa JF.
Kuna mambo mawili yametokea humu JF katika wiki moja hii. Mambo haya ni muhim sana na hususan kwenye masuala ya National Security na naamini kuwa wana TISS wanasoma na sitoshangaa kuona kuwa hizi cover zimekuwa blown kwa kusudi kabisa
1. Tuhuma zinazomhusisha Zitto Kabwe na mwanamke Mjerumani (Andrea Cordes) ambaye anafanyakazi kwenye NGO moja wapo hapa Tanzania ambayo. Andrea tuliambiwa kuwa ni jasusi na front wa intelligence service ya Ujerumani (BND), na temeelezwa jinsi alivyo mrecruit zitto kama handler wake na jinsi pesa zilivyokuwa transfered na kuna wengine wanasema kuwa Zitto alipatikana kwa kutumia mitego ya Honeypot. In essence naamini kuwa TISS walikuwa wanajua kila kitu lakini sikutegemea kama Zitto ambaye mwanzo angekuwa outed na kupewa BURN NOTICE haraka kiasi hicho.
2. Tuhuma za aliyekuwa waziri wa Ulinzi mheshimiwa Juma Kapuya alikuwa recruited kama asset wa kampuni ya kijasusi ya kichina hapa Tanzania (CATIC INTERNATIONAL) ambayo ilipewa contracts kadhaa za ujenzi na tumeambiwa kuwa mwanaye kapuya (Athumani) alipewa kazi kwenye kampuni hiyo ambayo ilianza uhusiano naye toka alipokuwa pale wizara ya Ulinzi kama 'agent of influence'
Nyongeza:
Mnakumbuka List ya mawaziri na watu wenye influence serikalini ambao walitajwa kwenye WIKILEAKS CABLES ( Hosea wa PPCB na wengine).
Anyway thats just a food for thought perhaps hao ma graduates wa chuo cha national security wanaweza kutupatia ukweli zaidi.