Uhusiano kati ya yale mambo yetu na ubora godoro

Likasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
855
Reaction score
438
Habari za w/end wanaJF wote. Kuna tangazo kwenye tv jamaa na mkewe wapo kwenye taxi wamebeba godoro la comfy. Jamaa mwingine na mkewe wanalisifia eti mtoto wao wa kwanza wamempatia kwenye hilo godoro. Hivi kuna uhusiano gani kati ya ubora wa godoro na majamboz au kupata mtoto ? Nawasilisha.
 
Uhusiano upo tena mkubwa.
Hebu toa godoro weka mkeka ndio utaelewa.
 
kwahiyo hilo godoro sio jipya ni used kwasababu hao wa kwanza ndio walianza kuchakachuana ktk hilo godoro na jamaa wanaingizwa king kwa kuambiwa ni jipya?
In short hakuna mahusiano yoyote watu kibao wamezaliwa katika vitanda vya kamba
 
hamna uhusiano .....ukikandamija mambo ye2 yaleee uchochoron ni taamu kuliko ht hayo magodoro yenu.
 
hamna uhusiano .....ukikandamija mambo ye2 yaleee uchochoron ni taamu kuliko ht hayo magodoro yenu.
daaah bro ndo wewe umeandika hivi au ulisahau ku log out mtu akaandika bila we kujua..................
 
Mmmhhh naona lina uhusiano kidogo tu
na ni kwa sababu tuna lalia....
lakini hayo majambozi kokote tu
Sakafuni kama unaishi sehemu kama dar...
 
Ni hivi, kwani kuna uhusiano wa gani wa kutumia KY gelly/durex play ktk hii kitu? Just unatumia kukuondoshea adha uzipatazo au kukuongeze raha tu. Lkn kila kitu kipo possible kwa sehemu na wakati wake. Godoro sometimez usefull, sometimez useless.
 
Embu kukuruka sakafuni magoti yachubuke halafu uje utupe jibu
 
daaah bro ndo wewe umeandika hivi au ulisahau ku log out mtu akaandika bila we kujua..................

kwani ww! ni ww umesoma au ulisahau ku log out m2 akakusomea bila ww kujua .........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…