Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hivi ni kweli mtu kuwa na uhusiano na beki tatu ni aibu kwa familia na nje ya familia? nimeshuhudia hili mahali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kweli mtu kuwa na uhusiano na beki tatu ni aibu kwa familia na nje ya familia? nimeshuhudia hili mahali.
by the way, hivi kwa nini hao madem wanaitwa ivo? (beki tatu)?
why?how?
by the way, hivi kwa nini hao madem wanaitwa ivo? (beki tatu)?
Why?how?
hivi ni kweli mtu kuwa na uhusiano na beki tatu ni aibu kwa familia na nje ya familia? Nimeshuhudia hili mahali.
usizini......maneno ya Mungu si yangu!tena ni amri!
mi sioni aibu yoyote kutembea na house girl, sema tu msiwe mnakaa nyumba moja
Mkuu ipo siku utaumbuka ndo utakapo jiona huna maana
wanaitwa beki tatu
kwa maana wife ni golikipa
so anaefuata baada ya kipa ni beki tatu